Tuesday, March 3, 2020

BMI SWAHILI CENTER

BMI SWAHILI CENTER ni taasisi inayojihusisha na ufundishaji wa lugha ya kiswahili kwa wageni kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni. Kusudi la taasisi hii ni kuhakikisha lugha ya kiswahili inapasua anga na kuwa chombo cha mawasiliano ulimwenguni kote.